Polisi: Tutaowakamata kesho wenye namba 3D, kuwafikisha mahakamani
"Operesheni inaendelea na kuanzia kesho atakayekamatwa atapelekwa mahabusu na Jumatatu kupelekwa mahakamani, kutengeneza namba hakuchukui muda kinachoonekana ni ukaidi," amesema Kamanda Nga’nzi.